SAMSUNG S25 EDGE  DUAL

SAMSUNG S25 EDGE DUAL

Full Boxed Smart Phones In stock
Current price
TSh 2,180,000

The current listed price of SAMSUNG S25 EDGE DUAL at Sasi Buying Area is TSh 2,180,000.

Price information updated 28 March 2026.

Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.

Available options and prices

512GB 12GB TSh 2,180,000

Product description

Samsung Galaxy S25 Edge – Maelezo ya BidhaaSamsung Galaxy S25 Edge ni simu ya kisasa yenye muonekano wa premium, ikiwa na kioo kilichopinda (curved display) kinachotoa mwonekano wa kipekee na matumizi laini zaidi.Inakuja na kioo cha 6.7-inch Dynamic AMOLED 2X (QHD+), chenye refresh rate ya 120Hz na edges zilizopinda, kinachofanya scrolling, video na gaming kuwa smooth na kuvutia zaidi.Kwa upande wa performance, inaendeshwa na Snapdragon 8 Elite (3nm) pamoja na RAM 12GB, hivyo kuhakikisha speed kubwa na matumizi ya apps nzito bila lag.Kwenye kamera, S25 Edge ina mfumo wa triple camera:50MP main camera12MP ultra-wide10MP telephoto (3x zoom)12MP selfieInatoa picha zenye ubora wa juu pamoja na video hadi 4K/8K, ikiwa na maboresho ya AI kwenye night mode na video clarity.Betri ya 4800mAh inahakikisha matumizi ya siku nzima, ikiwa na fast charging na wireless charging kwa urahisi zaidi.Pia inakuja na:Galaxy AI (smart features, editing, automation)Fingerprint & Face UnlockWater resistant (IP68)Muonekano mwembamba na premiumSifa kuu:6.7” AMOLED QHD+ (120Hz, curved display)Snapdragon 8 Elite (fast & efficient)Kamera 50MP + zoom 3xBetri 4800mAh + fast charging12GB RAM (256GB / 512GB)Galaxy AI featuresIP68 water resistantSamsung Galaxy S25 Edge ni chaguo sahihi kwa mteja anayetaka simu yenye muonekano wa kipekee (edge), display nzuri na performance ya flagship.