Pixel 8

Pixel 8

Used Smart Phones In stock
Current price
TSh 665,000

The current listed price of Pixel 8 at Sasi Buying Area is TSh 665,000.

Price information updated 13 September 2026.

Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.

Product description

📱 GOOGLE PIXEL 8 — SMARTPHONE YA KISASA, NGUVU NA UBORA WA KIWANGO CHA JUU! 🔥


Google Pixel 8 ni simu inayokuja na muunganiko wa muonekano wa premium, performance kali na kamera bora sana. Ikiwa unatafuta simu yenye uwezo mkubwa kwa matumizi ya kila siku, gaming, picha na video, basi Pixel 8 ni chaguo sahihi.


📸 Kamera yenye ubora wa hali ya juu – Piga picha zenye clarity nzuri, rangi halisi na video za kuvutia. Teknolojia ya Google AI inasaidia kuboresha picha zako kwa kiwango cha juu.


⚡ Performance ya kasi – Ikiwa na chip ya Google Tensor, Pixel 8 inafanya kazi kwa haraka na laini kwenye apps mbalimbali, multitasking na matumizi ya kila siku.


🖥️ Display nzuri na smooth – Furahia video, movies, gaming na mitandao ya kijamii kwenye screen yenye muonekano mkali na refresh rate ya juu.


🔋 Battery ya kudumu – Tumia simu yako kwa muda mrefu bila usumbufu wa kuchaji mara kwa mara.


🤖 Google AI & Android Experience – Pata matumizi safi ya Android pamoja na features za kipekee za Google zinazofanya matumizi ya simu kuwa rahisi na ya kisasa.


🔥 Google Pixel 8 — Kamera kali, performance bora, AI ya kisasa na muonekano wa premium, vyote kwenye simu moja!


Chagua Pixel 8, chagua ubora wa matumizi ya kisasa. 📱✨