Pixel 7
The current listed price of Pixel 7 at Sasi Buying Area is TSh 495,000.
Price information updated 2 July 2026.
Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.
Available options and prices
Product description
Google Pixel 7 – Simu ya kisasa yenye kamera bora na utendaji wa kiwango cha juu!
Google Pixel 7 inakuja na skrini ya OLED ya inchi 6.3 yenye ubora wa Full HD+ na 90Hz refresh rate, inayotoa mwonekano mkali, rangi halisi na matumizi laini kila unapoteleza au kucheza michezo.
Inatumia Google Tensor G2 yenye uwezo mkubwa wa AI, hivyo simu hufanya kazi kwa kasi, matumizi ya betri ni bora, na hupata uzoefu safi wa Android pamoja na masasisho ya moja kwa moja kutoka Google.
Kwa upande wa kamera, Pixel 7 ina kamera kuu ya 50MP (OIS) na 12MP Ultra-Wide, huku kamera ya mbele ikiwa 10.8MP. Inapiga picha zenye ubora wa hali ya juu mchana na usiku, pamoja na kurekodi video za 4K, hivyo ni chaguo bora kwa wapenda kupiga picha na kutengeneza maudhui.
Simu ina RAM 8GB, hifadhi ya 128GB au 256GB, betri ya 4355mAh, inasaidia 5G, wireless charging, NFC, pamoja na kiwango cha IP68, kinachoipa kinga dhidi ya maji na vumbi.
Google Pixel 7 – Mchanganyiko kamili wa kamera bora, utendaji wa kasi, na Android safi kwa matumizi ya kila siku.