Pixel 10 pro fold
The current listed price of Pixel 10 pro fold at Sasi Buying Area is TSh 3,550,000.
Price information updated 5 July 2026.
Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.
Available options and prices
Product description
📱 Google Pixel 10 Pro Fold – Simu ya kisasa inayokupa uzoefu wa simu na tablet kwa pamoja! Ikiwa na skrini ya nje ya 6.4" na skrini ya ndani inayofunguka hadi 8.0", utafurahia kuangalia video, kucheza games na kufanya kazi kwa urahisi zaidi.
⚡ Inatumia Google Tensor G5 kwa kasi ya hali ya juu, ikiwa na 16GB RAM na hadi 1TB ya hifadhi. Kamera zake za kiwango cha Pro hukuwezesha kupiga picha zenye ubora wa hali ya juu mchana na usiku, huku AI ya Google ikiboresha kila picha.
🔋 Betri ya 5015mAh hudumu siku nzima, ikiwa na 30W fast charging pamoja na 15W wireless charging. Simu hii pia ina Android 16, miaka 7 ya updates, na uimara wa IP68, hivyo ni moja ya simu zinazokunjwa zenye ulinzi bora dhidi ya maji na vumbi.