Infinix smart 20

Infinix smart 20

Full Boxed Smart Phones In stock
Current price
TSh 380,000

The current listed price of Infinix smart 20 at Sasi Buying Area is TSh 380,000.

Price information updated 6 July 2026.

Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.

Available options and prices

128 4 TSh 380,000

Product description

🔥 Infinix Smart 20 – Simu ya kisasa yenye muonekano maridadi na uwezo mzuri kwa matumizi ya kila siku!


✅ Kioo kikubwa cha 6.78" HD+ 120Hz kwa mwonekano laini na wa kuvutia.

✅ Processor MediaTek Helio G81 Ultimate inayokupa matumizi ya haraka kwa apps, mitandao ya kijamii na gaming za kawaida.

✅ RAM 4GB na hifadhi 64GB/128GB (inaongezeka kwa microSD).

✅ Kamera ya nyuma 8MP na selfie 8MP kwa picha na video zenye ubora mzuri.

✅ Betri kubwa 5200mAh inayodumu siku nzima, ikiwa na 15W Fast Charging.

✅ Fingerprint pembeni, Face Unlock, USB Type-C, NFC (kwa baadhi ya matoleo), pamoja na IP64 ya kuhimili vumbi na matone ya maji.


Infinix Smart 20 ni chaguo bora kwa anayehitaji simu ya bei nafuu yenye muonekano wa kisasa, betri imara na matumizi laini ya kila siku.