Samsung s22 plain
The current listed price of Samsung s22 plain at Sasi Buying Area is TSh 580,000.
Price information updated 2 October 2026.
Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.
Available options and prices
Product description
🔥 SAMSUNG GALAXY S22 — NDOGO KWA SIZE, KUBWA KWA PERFORMANCE! 🔥
Unatafuta simu yenye muonekano wa kisasa, camera kali na performance ya juu? 😍 Samsung Galaxy S22 ni chaguo la kuvutia sana!
✨ Sifa kuu:
📱 Display ya 6.1" Dynamic AMOLED 2X — picha zenye rangi kali na clarity kubwa
⚡ Processor yenye nguvu kwa matumizi ya kila siku, gaming na multitasking
📸 Camera Triple yenye uwezo mzuri wa kupiga picha na video
🚀 RAM 8GB — matumizi laini na apps nyingi kwa wakati mmoja
💾 Storage hadi 256GB
🔐 Fingerprint & Face Unlock
💦 Ina IP68 water & dust resistance
📶 5G — internet ya kasi zaidi pale mtandao unapopatikana
🔋 Battery 3,700mAh pamoja na fast charging na wireless charging
💯 S22 ni simu compact, premium na yenye performance ya kiwango cha juu.
📞 Wasiliana nasi: 0625501077
📍 Uhuru Business Center, Duka B06