Samsung A16
The current listed price of Samsung A16 at Sasi Buying Area is TSh 445,000.
Price information updated 7 October 2026.
Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.
Available options and prices
Product description
🔥 SAMSUNG GALAXY A16 — UREMBO, UBORA NA PERFORMANCE! 🔥📱
Unatafuta Samsung yenye muonekano wa kisasa, screen kubwa na performance nzuri kwa matumizi ya kila siku? 😍
👉 Samsung Galaxy A16 ndiyo chaguo sahihi!
✨ Kinachokufanya uipende A16:
📱 Screen kubwa yenye display safi na nzuri kwa kuangalia video, TikTok, YouTube na picha
📸 Camera nzuri kwa picha na video zenye kuvutia
⚡ Performance nzuri kwa WhatsApp, Facebook, Instagram, TikTok na matumizi ya kawaida
🔋 Battery inayokupa muda mzuri wa matumizi kwa siku
💎 Design nyembamba, simple na yenye hadhi
🔐 Usalama mzuri wa Samsung kwa matumizi yako ya kila siku
🚀 Software nzuri na experience laini ya Samsung
💯 Samsung A16 — simu ya mtu anayependa simu nzuri, yenye hadhi na inayofanya kazi bila usumbufu.
🔥 Ukiishika, utaipenda. Ukiitumia, utaielewa! 🔥