Samsung s20 ultra
The current listed price of Samsung s20 ultra at Sasi Buying Area is TSh 535,000.
Price information updated 9 October 2026.
Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.
Available options and prices
Product description
🔥📱 SAMSUNG GALAXY S20 ULTRA — SIMU YA KIPEKEE KWA WENYE KUJUA UBORA! 👑
Unahitaji simu yenye muonekano wa kifahari, kamera kali na uwezo mkubwa? 😍 Samsung S20 Ultra ni moja ya simu zinazovutia kwa muonekano na uwezo wake!
📸 Kamera Kali: Piga picha zenye maelezo mengi na video zenye ubora wa kuvutia.
🖥️ Screen Kubwa: Furahia picha safi na rangi nzuri unapotazama movies, YouTube au kucheza games.
⚡ Performance Bora: RAM kubwa inasaidia kufanya shughuli nyingi kwa wakati mmoja kwa urahisi.
🔋 Battery 5000mAh: Inakupa uwezo wa kutumia simu yako kwa muda mrefu kulingana na matumizi yako.
✨ Muonekano wa Kifahari: Design ya kisasa inayokupa muonekano wa mtu mwenye hadhi.
💾 RAM 12GB | STORAGE 128GB
🔥 Samsung S20 Ultra — ukitaka ubora, kamera na muonekano wa kifahari, hii ni simu ya kuzingatia! 💯📱