Samsung s21 plain
The current listed price of Samsung s21 plain at Sasi Buying Area is TSh 480,000.
Price information updated 11 October 2026.
Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.
Available options and prices
Product description
🔥 SAMSUNG GALAXY S21 — NDOGO KWA UKUBWA, KUBWA KWA UWEZO! 🔥📱
Unatafuta simu yenye muonekano wa kisasa, kamera kali na performance ya uhakika? 😍 Samsung Galaxy S21 ni chaguo sahihi kwako!
✨ Kwa nini uchague Samsung S21?
📱 Display: AMOLED yenye rangi angavu na picha zenye ubora wa hali ya juu.
📸 Kamera kali: Piga picha zenye mvuto na rekodi video zenye ubora mzuri.
⚡ Performance: Kasi nzuri kwa matumizi ya kila siku, mitandao ya kijamii, biashara na michezo.
🎮 Gaming: Inafaa kwa kucheza games na kufanya shughuli mbalimbali bila usumbufu mkubwa.
🔋 Battery: Inakusaidia kufanya shughuli zako za kila siku, kutegemea matumizi yako.
💎 Muonekano: Design ya kisasa, nyembamba na inayokaa vizuri mkononi.
🔥 Samsung S21 — simu ya kiwango cha juu kwa mtu anayejali ubora, muonekano na kasi!
📲 Usiishie kuitamani, njoo uimiliki! 😎