Samsung A54
The current listed price of Samsung A54 at Sasi Buying Area is TSh 530,000.
Price information updated 23 October 2026.
Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.
Available options and prices
Product description
🔥 SAMSUNG GALAXY A54 5G — UBORA UNAONYESHA HADHI! 📱😍
Unataka simu yenye kamera kali, screen nzuri na performance ya uhakika? 🔥 Samsung Galaxy A54 5G ni chaguo lako!
✨ SIFA ZA SAMSUNG A54 5G
📱 Display: 6.4-inch Super AMOLED, 120Hz kwa picha safi na mwonekano laini.
📸 Kamera: 50MP yenye OIS kwa picha zenye ubora na video tulivu.
🤳 Selfie Camera: 32MP kwa selfie nzuri na video za kuvutia.
⚡ Processor: Exynos 1380 kwa matumizi ya kila siku, multitasking na gaming.
💾 Storage: Inapatikana kwa matoleo ya 128GB na 256GB.
🧠 RAM: 6GB au 8GB kutegemea toleo.
🔋 Battery: 5,000mAh kwa matumizi ya muda mrefu.
⚡ Charging: 25W fast charging.
💧 Ulinzi: IP67 dhidi ya maji na vumbi katika mazingira yaliyopimwa.
🌐 Network: 5G kwa kasi ya intaneti pale inapopatikana.
🔥 KWA NINI UCHAGUE A54?
✅ Kamera yenye ubora.
✅ Screen nzuri kwa video na movies.
✅ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia.
✅ Battery kubwa.
✅ Inafaa kwa biashara, mitandao ya kijamii na matumizi ya kila siku.
❤️🔥 Samsung Galaxy A54 5G — simu yenye muonekano wa kifahari na uwezo wa kukidhi mahitaji yako! 📱💯