Samsung A08

Samsung A08

Full Boxed Smart Phones In stock
Price starts from
From TSh 380,000

The current listed price of Samsung A08 at Sasi Buying Area is from TSh 380,000.

Price information updated 24 November 2026.

Price range: TSh 380,000 to TSh 485,000, depending on the selected option.

Prices and availability are updated from the Sasi Buying Area product catalogue.

Available options and prices

64 4 TSh 380,000
128 4 TSh 485,000

Product description

Samsung Galaxy A08


Samsung Galaxy A08 ni simu janja iliyoundwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku, ikiwa na muonekano wa kisasa na skrini kubwa inayokupa uzoefu mzuri wa kutazama video, kutumia mitandao ya kijamii na kuvinjari mtandao.


Ina kamera yenye uwezo wa kupiga picha zenye ubora mzuri, betri inayodumu kwa muda mrefu na mfumo rafiki unaorahisisha matumizi ya kila siku.


Sifa Kuu:


- Skrini kubwa yenye ubora wa HD+

- Kamera yenye uwezo wa kupiga picha zilizo wazi

- Kamera ya mbele kwa ajili ya Selfie na Video Call

- Betri yenye uwezo mkubwa kwa matumizi ya muda mrefu

- Mfumo wa Android wenye One UI

- Muonekano wa kisasa na mwembamba

- Inafaa kwa matumizi ya kila siku, biashara na burudani.


Samsung Galaxy A08 – Teknolojia ya kisasa, muonekano wa kuvutia na matumizi rahisi kila siku.